Marekani inapanga kutuma wanajeshi takriban 200 nchini Nigeria kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo katika kupambana na ...
Mpasuko kushuhudiwa ndani ya ODM, chama cha aliyekuwa kinara wa upinzani nchini Kenya hayati Raila Odinga, ziara ya kaimu mkuu wa tume ya Umoja wa mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Monus ...
Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufungiwa katika Hoteli ya Decapolis huko Panama City, makumi ya wahamiaji wa Asia na Kiafrika waliofukuzwa kutoka Marekani wanabaki Panama, kwa kukosa mahala pa kwenda.
Kwa Donald Trump, Somalia ni nchi ambayo "inanuka" na wale waliohama kutoka huko kwenda Marekani na wazao wao, "takataka" ambazo lazima ziondolewe. Rais wa Marekani alishangaza Jumanne iliyopita kwa ...
Ufyatuaji risasi nchini Canada umesababisha vifo vya watu wasiopungua tisa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Polisi wa ...
Katika wiki za hivi karibuni, picha za mifugo iliyokonda katika eneo kame karibu na mpaka wake na Somalia zimewashtua wengi ...
Mgombea wa nafasi ya uwaziri mkuu wa Chama cha Kizalendo cha Bangladesh (BNP), Tarique Rahman, anatarajiwa kuchukua wadhfa huo baada ya chama chake kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu uliofanyi ...
JUMLA ya vitabu vya Amali 18,354 vimesambazwa katika shule zote za serikali na binafsi zinazofundisha mkondo wa Amali nchini ambako kwa kidato cha kwanza vimetolewa 15,780 na kidato cha pili ni 2,574.
MAMIA ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini wamejitokeza katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kushiriki zoezi la ...
Our site uses cookies and other technologies to give you the best possible experience. By using this site you are consenting ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results